CHEKI NA MIMI KUPITIA

Wednesday, February 17, 2016

Zime baki siku tatu tu yapi maoni yako

 

 kwa wapenzi wa soka la Bongo kwa sasa ni kuhusu mchezo kati yaSimba dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya February 20 katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, mchezo ambao unazikutanisha timu zote zenye nafasi ya kutwa Ubimgwa wa Ligi Kuu, huu ni mchezo wa marudiano na kisasi kwa Simba, au Yangawaendeleze ubabe baada ya mchezo wa awali Simba kukubali kufungwa kwa jumla ya goli 2-0.
Kwa sasa Simba wapo nafasi ya kwanza wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu wakiwa na jumla ya point 45 katika mechi zao 19 walizocheza, lakini Yanga wapo nafasi ya pili wakiwa na point 43 katika michezo yao 18 waliocheza wakiwa na kiporo cha mchezo mmoja. Huo ni mchezo wenye utani, presha kwa mashabiki na kejeli za hapa na pale. 

No comments:

Post a Comment